
Kizazi Kilichoharibika
Vijana leo wanasimama pamoja katika umoja uliopotoka. Maadili, mitazamo na matarajio yao yanafanana sana. Wao ni kina nani? Walikujaje? Na kizazi hiki kinamaanisha nini kwa sasa—na siku za usoni?
News, analysis, and perspective from The Real Truth.