Uhalifu na AdhabuHaki kwa WoteMifumo ya kisheria ulimwenguni, ambayo inapaswa kudumisha utulivu na kutoa haki, imejaa mianya na ufisadi. Ni nini kimeenda vibaya?
DiniMaana ya Kweli ya KwaresimaJumatano ya Majivu inaashiria mwanzo wa Kwaresima—siku 40 za maombi, kujikana na kukiri ambayo hufikia kilele Jumapili ya Pasaka. Kile ambacho Biblia inasema hasa kuhusu kipindi hiki kinaweza kukushangaza...
AsiaMaafa ya tetemeko la ardhi-tsunami nchini Japani: mwaka mmoja baadayeIngawa baadhi ya maeneo yameanza kustawi tena, taifa bado lina njia ndefu ya kupona.